Blog hii nimei designed kwa kutumia blogger Templates ambazo zinatolewa na google lakini nikaongeza manjonjo kwa kuweka Gadgets mbali mbali kama flash pictures kwenye header na kwenye advert gadgets pia nikaweka na music play Gadget ambayo humuwezesha anae visit blog kusikiliza music huku anaangalia blog ...Gharama ya kupata Blog yenye Design kama hii ni Sh Elfu Hamsini tu (50,000 Tzs).
Click the Following Link to see full Blog :
http://sethought.blogspot.com/
 |
Header Page of the Blog with the Flash Picture |
 |
Music Gadget |
 |
Advert Gadget |
 |
Popular Posts Gadget |
No comments:
Post a Comment